Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai, 2021
Picha
kessyngocho.blogspot.com Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 1, 2021  Good morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo August 1, 2021,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Picha
kessyngocho.blogspot.com Habari za moja kwa moja Maelezo zaidi kuhusu taarifa hii Habari za moja kwa moja Imepakiwa mnamo 19:18 30 Julai 2021 19:18 30 Julai 2021 Tanzania yapokea ndege ya tisa aina ya Bombardier Ikulu Tanzania Copyright: Ikulu Tanzania Tanzania imepokea ndege nyingine ya masafa ya kati aina ya Bombardier Dash 8- Q 400 kutoka nchini Canada. Ndege hiyo ilipokewa na Rais Samia Suluhu Hassan aliyewaongoza viongozi mbalimbali na baadhi ya watanzania waliojitokeza katika uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere. Hiyo ni ndege ya tisa kati ya 11 zinazotarajiwa kununuliwa na serikali kufikia mwaka 2022, ndege nyingine inatarajiwa kuwasili mwezi Oktoba mwaka huu. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Dkt Leonard Chamuriho ndege iliyopokelewa leo ni ya 5 ya masafa mafupi kununuliwa na Tanzania tangu mchakato wa kufufua Shirika hilo uanze katika kipindi cha miaka 5 iliyopita. Akizungumza wakati wa kupokea ndege hiyo, Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu alisema mbali na ndege za abiria nchi hiyo...
Picha
kessyngocho.blogspot.com Chanzo kifo cha Babu wa Loliondo “hakutaka wajue anaugua” (+video) Pascal Mwakyoma TZA   Chanzo cha kifo cha Mchungaji Ambilikile Mwasapile (86) kimetajwa aliugua nimonia kali ambayo ilimsababisha kupata tatizo la upumuaji na homa. Tangu afariki wasaidizi wake na majirani wamekuwa wakieleza kushtushwa na kifo hicho ambacho kimetokea akiwa anaendelea kutoa huduma ya tiba ya kikombe aliyoanza tangu mwaka 2011. Mchungaji Ambilikile ambaye ataendelea kukumbukwa kwa kuvutia maelfu ya watu ndani na nje ya nchi kati ya mwaka 2011 hadi 2013 kutokana na tiba yake ya kikombe alifariki jana saa 9:45 jioni. Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Raymond Mangwala amesema kuwa taarifa za awali za madaktari zinaeleza chanzo cha kifo ni nimonia ambapo kwa takriban siku tano alikuwa anaumwa na kupata sindano za masaa.
Picha
kessyngocho.blogspot.com PICHA 15:Rais Samia na Viongozi mbalimbali walivyochanjwa chanjo ya Uviko 19 Ikuku DSM Ni July 28, 2021 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki uzinduzi wa chanjo ya Uviko 19 katika viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam. Sasa baada ya uzinduzi huo hapa millardayo.com imekusogezea picha 15 zikimuonesha Rais Samia Suluhu pamoja na Viongozi mbalimbali wakichanjwa chanjo ya kujikinga na Covid-19. . .Rais wa awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akionesha cheti chake baada ya kupatiwa chanjo ya kujikinga na Covid-19 .Pichani Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akichanjwa chanjo ya kujikinga Covid-19 katika hafla ya uzinduzi wa chanjo hiyo uliofanyika July 28,2021 Ikulu Dar es Salaam . .Pichani:Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma akichanjwa chanjo ya kujikinga ugonjwa wa Covid-19 katika uzinduzi wa hafla hiyo uliofanyika July 28,2021 Ikulu Dar es Salaam .Pichani Waziri wa Afya Dkt Dorothy Gw...
Picha
kessyngocho.blogspot.com BOT yapunguza kiwango cha sehemu ya Amana za Mabenki (Video+)   1 hour ago Benki Kuu ya Tanzania  (BOT)  imepunguza kiwango cha sehemu ya Amana za Mabenki kinachotakiwa kuwekwa Benki kuu, hatua hii ni kutoa msukumo mkubwa wa kuongeza kasi ya mikopo kwa sekta binafsi na kupunguza riba na hivyo kuchochea kasi ya ukuaji wa uchumi, hii ni sehemu ya hatua tano za kisera ambazo  BOT  wamezitaja leo ili pia kuweka mambo sawa kutokana na janga la Corona kuathiri shughuli za kiuchumi. Gavana wa Benki Kuu  Prof. Florens Luoga amesema nafuu hii itatolewa kwa  Benki itakayotoa mikopo kwa sekta ya kilimo kulingana na kiasi cha mkopo kitakachotolewa ambapo Benki itakayonufaika itatakiwa kutoa mikopo kwa sekta ya kilimo kwa riba isiyozidi asilimia 10 kwa mwaka. Hatua nyingine ambayo imechukuliwa na BOT ni pamoja na kulegeza masharti ya usajili wa  Mawakala  wa Benki ambapo imeondoa sharti la uzoefu wa kufanya biashara kwa angalau mi...

Ngorongoro

Picha
kessyngocho.blogspot.com Hifadhi ya Ngorongoro   (kwa   Kiingereza : "Ngorongoro Conservation Area") ni   hifadhi ya taifa   kaskazini mwa   Tanzania   inayojulikana kote   duniani , hasa baada ya kuorodheshwa na   UNESCO   kati ya mahali pa   Urithi wa Dunia . Makundi ya wanyamapori katika kasoko. Ramani ya eneo. Eneo la Ngorongoro lipo kaskazini mwa Tanzania. Ndani ya kasoko. Kiini chake ni eneo la  kasoko  kubwa lenye  umbali  wa takriban  kilomita  180 kutoka  Arusha . Kuna jumla ya  wanyamapori  wakubwa takriban 25,000, wakiwa pamoja na  vifaru ,  viboko ,  nyumbu ,  pundamilia ,  nyati ,  simba ,  fisi  na  chui . Bidii kubwa zaidi ya kulinda wanyama aina ya vifaru zinahitajika haraka kwa sababu idadi ya wanyama hao inazidi kupungua. Mabaki ya  zamadamu  katika  Olduvai Gorge yanaonyesha kwamba  wanyama  hao waliokoma ...
Picha
kessyngocho.blogspot.com Rais Samia akiwaapisha Mabalozi wateule 13 “Tumeteuwa Vijana ili mkachape kazi” Edwin TZA  ·  2 hours ago NI July 27, 2021 ambapo Rais wa awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan  anawaapisha Mabalozi wateule 13 muda huu Ikulu Dar es Salaam “Waziri amesema hapa ni uteuzi wa Vijana wenye umri wa chini ya miaka 45 sasa hii ina maana gani? hii ina maana kwamba hatujawapa Idara mkafanye ujana tumteuwa vijana tuna maana kwamba ulimwengu wa leo ni ulimwengu wa mitandao, taarifa nyingi ni mitandao, mawasiliano mingi ni mitandao na nyie vijana mpo wepesi kwenye hayo” – Rais Samia “ Lakini pia mtakuwa wepesi kufuatilia yanayowahusu lakini pia kufanya kazi zenu kwa urahisi tuna imani na nyinyi lakini pia kwa ambao watabaki hapa ndani watafanya kazi zao kwa urahisi, t umechagua fani mbalimbali tukijua kwamba fani zenu zikienda kutusaidia ikiwemo  wafanyabiashara watu wa Dipolamasia nikijua kwamba kazi iliyopo mbele yenu mna...

Mzozo eneo la karume

Picha
kessyngocho.blogspot.com Mzozo eneo la Karume, Serikali ya Zanzibar yatoa kauli (Video+) Edwin TZA  ·  3 hours ago Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uwepo wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu  Nyerere visiwani Zanzibar  ni kielelezo Chanya katika kuenzi na kudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa Vitendo. Makamu wa Pili wa Rais  wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameleza hayo kupitia hotuba alioisoma kwa niaba ya Rais Dk. Hussein Mwinyi  katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la mradi wa ujenzi wa mabweni ya wanafunzi  wa chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere – Kampasi ya Karume Zanzibar. ‘Suala la mzozo Mkuu wa chuo amelizungumza na mimi nilitaka kumuhakikishia kwamba kwa niaba ya Mheshimiwa Rais hili suala tutalimaliza kwa kipindi kijazo’- Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar  

Mkuu wa wilaya saimon songwe simalenga

Picha
kessyngocho.blogspot.com Mkuu wa Wilaya ya Songwe,  Saimon Simalenga  amepiga marufuku makongamano na mikusanyiko isiyo ya lazima ndani ya  Wilaya  hiyo kwa lengo la kuwakinga Wananchi na maambukizi ya Virusi vya Corona.  Simalenga  ametoa katazo hilo jana wakati akizungumza na Wandishi wa Habari Wilayani  Songwe. Hata hivyo, Simalenga amesema marufuku hiyo haiwahusu waumini wa dini zote ambao wanaruhusiwa kuendelea kufanya ibada kama Kawaida, lakini akiwataka wachukue tahadhari dhidi ya virusi vya  Corona wanapokuwa ibadani. “Kuanzia sasa hakuna mikusanyiko isiyokuwa ya lazima itaruhusiwa kufanyika ndani ya Wilaya ya Songwe, tunazuia mikusanyiko hivyo kwa nia njema ya kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virus vya Corona,”  alisema Simalenga. Simalenga amesema kila atakayetaka kufanya kongamano lolote lazima awasiliane na ofisi ya Mkuu wa Wilaya kabla hajafanya ili apewe kibali kwa kuzingatia mazingira yaliyopo na kama  Serikali  itaj...
Picha
kessyngocho.blogspot.com Mo Akumbushia Sakata la kutekwa adai ‘Nilijua nitakufa/niliwekewa Mabunduki’ (Video+ Ni Mfanyabiashara Mohamed Dewji   JULY 24, 2021  amekutana na waandishi wa Habari kuzungumza kuhusu maendeleo ya Foundation yake, sasa miongoni mwa aliyoyazungumza mbele ya waandishi ni kuhusu Sakata lake la  utekwaji. ‘ Lakini lazima nianze kumshukuru Mwenyezi Mungu lakini pia nina deni kubwa sana na nchi hii kwani mnajua nilitekwa niliwekewa mabunduki’- Mo Dewji ‘Nilifungwa macho siku tisa nilikuwa najua nitakufa lakini Dua awe Mkristo ama Muislamu ama awe Chama cha Mapinduzi watu wameniombea sana’-  Mo Dewji ‘Wapi umeona Duniani kwamba mtu masikini anamuombea mtu Tajiri ulishawahi kusikia wapi, lakini watanzania wameniombea kwa imani zao zote nina deni’-  Mo Dewji ‘Naipenda nchi yangu nitakufa hapa nitazikwa hapa hapa kwa hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu lakini pili pia nimshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ametuletea mwelekeo mpya na watu watap...