Bule usafiri
#UNAAMBIWA Usafiri wa umma ni bure kwenye Nchi ya Luxembourg iliyopo Ulaya ikiwa imezungukwa na Ujerumani, Ufaransa na Ubelgiji, kuanzia March 2020 Watu wanapanda bure Mabasi, Trams na Treni kila wakati popote wanapokwenda. Luxembourg ikiwa miongoni mwa Nchi tajiri duniani ambayo mpaka mwaka 2017 ilikua na Watu laki moja na elfu kumi na nne, ilisema moja ya sababu ya kufanya usafiri kuwa bure ni ili Watu wasitumie magari binafsi ili msongamano wa magari usiwepo. kibongobongo ungependekeza kitu gani kiwe bure kwa wote? 🤔😄