Tanesko
WAZIRI wa Nishati, Medard Kalemani ameonya tabia ya baadhi ya Mameneja wa Shirika la Umeme (TANESCO) kuwauzia nguzo wananchi wanaotaka kuunganishiwa huduma ya umeme wakati nguzo hizo utolewa bure kwa wateja kote nchini. Akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa nchini nzima katika semina iliyofanyika Jijini Dodoma, Waziri Kalemani amesema kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya kuuziwa nguzo licha ya Serikali kutoa maelekezo yakutouzwa kwa nguzo hizo. WAZIRI wa Nishati, Medard Kalemani ameonya tabia ya baadhi ya Mameneja wa Shirika la Umeme (TANESCO) kuwauzia nguzo wananchi wanaotaka kuunganishiwa huduma ya umeme wakati nguzo hizo utolewa bure kwa wateja kote nchini. Akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa nchini nzima katika semina iliyofanyika Jijini Dodoma, Waziri Kalemani amesema kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya kuuziwa nguzo licha ya Serikali kutoa maelekezo yakutouzwa kwa nguzo hizo. “Yapo maeneo watu mnawauzia nguzo, pamoja na kutoa maelekezo chungu nzim...