kessyngocho.blogspot.comPicha: Rais Samia alivyolipokea Kombe la Dunia Ikulu Dar es Salaam
Ni Mei 31, 2022 ambapo Rais Samia akipokea Kombe la Dunia la Mashindano ya Mpira Miguu (World CUP) Litakaloshindaniwa nchini Qatar IKulu Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha mbalimbali ushuhudie yaliyojiri Ikulu Dar es Salaam.
Maoni
Chapisha Maoni
Karibu kessyngocho.blogspot.com
Tukuhudumie