Habari tanzani

 Kama kawaida cc vijana huwa mawazo yetu hua ni finyu hatuwazi kesho bali hua tunaangalia leo tu tubadilike ili kesho yetu tuijue hata vizazi vijavyo vipate mambo ambayo c mabaya kwao bali ya heli 

Maoni

  1. Kocha Mecky Mexime leo amesaini mkataba wa miaka miwili kama Kocha Mkuu wa kituo cha Cambiasso Sports Management.



    Mexime ameeleza kuwa ameamua kufanya kazi na Cambiasso kwa sababu anataka kutuliza Kichwa chake kutokana na vilabu vya Tanzania baadhi ya viongozi hawana ueledi wa soka.



    “Mimi sasa hivi nimeshaingia Cambiasso nimepumzisha kichwa kwa sababu huku kwenye vilabu vyetu wajinga wajinga wengi na ndio mpira wetu sisi unapofeli, sisi walimu wa mpira kuna wakati tunafukuzwa kazi na watu wajinga tu”>>> Mexime

    JibuFuta

Chapisha Maoni

Karibu kessyngocho.blogspot.com
Tukuhudumie

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

DARAJANI TANZANITE DAR ESALAAM