DARAJANI TANZANITE DAR ESALAAM

kessyngocho.blogspot.com

Ni Mei 28, 2022 ambapo watu mbalimbali wamefika katika Daraja Tanzanite Dar es Salaam kushuhudia live fainali kati ya Real Madrid na Liverpool kupitia Big Screen iliyofungwa kwenye daraja hilo.

Hapa unaweza tazama picha mbalimbali shangwe za mashabiki wa Mpira waliofika kujionee fainali hiyo inayoendelea muda huu.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii