Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Agosti 12, 2021
Picha
kessyngocho.blogspot.com Polisi watoa onyo kwa wanaofumania na kupiga “tunawatafuta” (Video+) Jeshi la  Polisi  kupitia kwa Msemaji wake wa  David   Misime  ametoa onyo kwa wale wanaojichukulia sheria mkononi kwenye matukio mbalimbali ikiwemo lililotokea  Kongowe   Dar es Salaam  la Fumanizi nakupelekea watu kupigwa ambapo amesema watu hao wameshakamatwa pia  Jeshi  hilo limezungumzia tukio la  kijana aliyedaiwa kuiba nakufungwa kwenye pikipiki nakuburuzwa hadi kupoteza maisha. “Jeshi letu la Polisi linaendelea kutoa Elimu mbalimbali kwa jamii lakini leo hii ningependa kuzungumza kwa uhalifu ambao umeanza kuonekana kwa baadhi ya watu kujichukua sheria mikono naomba nivitaje ili Wananchi waache kujichukulia Sheria mikono kwani ni jambo la aibu sana”- Jeshi la Polisi