Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Julai 25, 2021
Picha
kessyngocho.blogspot.com Mo Akumbushia Sakata la kutekwa adai ‘Nilijua nitakufa/niliwekewa Mabunduki’ (Video+ Ni Mfanyabiashara Mohamed Dewji   JULY 24, 2021  amekutana na waandishi wa Habari kuzungumza kuhusu maendeleo ya Foundation yake, sasa miongoni mwa aliyoyazungumza mbele ya waandishi ni kuhusu Sakata lake la  utekwaji. ‘ Lakini lazima nianze kumshukuru Mwenyezi Mungu lakini pia nina deni kubwa sana na nchi hii kwani mnajua nilitekwa niliwekewa mabunduki’- Mo Dewji ‘Nilifungwa macho siku tisa nilikuwa najua nitakufa lakini Dua awe Mkristo ama Muislamu ama awe Chama cha Mapinduzi watu wameniombea sana’-  Mo Dewji ‘Wapi umeona Duniani kwamba mtu masikini anamuombea mtu Tajiri ulishawahi kusikia wapi, lakini watanzania wameniombea kwa imani zao zote nina deni’-  Mo Dewji ‘Naipenda nchi yangu nitakufa hapa nitazikwa hapa hapa kwa hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu lakini pili pia nimshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ametuletea mwelekeo mpya na watu watap...