kessyngocho.blogspot.comMo Akumbushia Sakata la kutekwa adai ‘Nilijua nitakufa/niliwekewa Mabunduki’ (Video+

Ni Mfanyabiashara Mohamed Dewji  JULY 24, 2021 amekutana na waandishi wa Habari kuzungumza kuhusu maendeleo ya Foundation yake, sasa miongoni mwa aliyoyazungumza mbele ya waandishi ni kuhusu Sakata lake la utekwaji.

Lakini lazima nianze kumshukuru Mwenyezi Mungu lakini pia nina deni kubwa sana na nchi hii kwani mnajua nilitekwa niliwekewa mabunduki’- Mo Dewji

‘Nilifungwa macho siku tisa nilikuwa najua nitakufa lakini Dua awe Mkristo ama Muislamu ama awe Chama cha Mapinduzi watu wameniombea sana’- Mo Dewji

‘Wapi umeona Duniani kwamba mtu masikini anamuombea mtu Tajiri ulishawahi kusikia wapi, lakini watanzania wameniombea kwa imani zao zote nina deni’- Mo Dewji

‘Naipenda nchi yangu nitakufa hapa nitazikwa hapa hapa kwa hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu lakini pili pia nimshukuru Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ametuletea mwelekeo mpya na watu watapata ajira Serikali itapata kodi tumeanza kufanya mahusiano mazuri na Dunia nzima’- Mo Dewji

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

DARAJANI TANZANITE DAR ESALAAM