kessyngocho.blogspot.com Picha: Rais Samia alivyolipokea Kombe la Dunia Ikulu Dar es Salaam Ni Mei 31, 2022 ambapo Rais Samia akipokea Kombe la Dunia la Mashindano ya Mpira Miguu (World CUP) Litakaloshindaniwa nchini Qatar IKulu Dar es Salaam. Hizi ni baadhi ya picha mbalimbali ushuhudie yaliyojiri Ikulu Dar es Salaam. . . . . . . .
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Mei 31, 2022