Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2021

Ushauri

Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala ya ushauri wa changamoto, ambapo tunashauriana hatua sahihi za kuchukua katika kukabiliana na changamoto ambazo ni kikwazo kwetu kufanikiwa kimaisha. Moja ya changamoto ambayo wengi wanapitia ni kukwama kuanza kwa sababu ya kuamini bado hawajapata maarifa ya kutosha au hakuna wa kuwasaidia. Hilo linawapelekea kujikuta wanaendelea kujifunza na kusubiri na wasianze kabisa. Kwenye ushauri wa leo tunakwenda kuona jinsi unavyojizuia kuanza kwa kufikiri hujawa na elimu ya kutosha au hatuna watu wa kutusaidia. Na rafiki yetu John ametuandikia kuomba ushauri kwenye hili; “Ninatamani kufanya biashara lakini kila ninayetaka kuzungumza naye na kushirikiana naye hasaidii kufika kwenye lengo langu kuhusu biashara na ninajikuta nabaki na maarifa yangu. Pia nimefanya tafiti nyingi kuhusu biashara na kilimo lakini kinachonikwamisha ni kukosa msingi bora wa elimu na kukosa mtu atakaye kusaidia kufikia malengo je nifanyeje. – John E. M. Nakumbuka kwenye moj

Habari leo tanzania

watanzani tulio wengi maisha yetu kwasasa c mazuli maana maisha yamepanda sukari iko juu mafuta nyama pia imepada wafanya biasha kila kukicha wanapandisha bila utalatibu tunaomba serikali iangazie hayo matatizo ili tupate unafuu wanainchi

Habari

kessyngocho.blogspot.com Kamakawaida

Tanesko

Picha
WAZIRI wa Nishati, Medard Kalemani ameonya tabia ya baadhi ya Mameneja wa Shirika la Umeme (TANESCO) kuwauzia nguzo wananchi wanaotaka kuunganishiwa huduma ya umeme wakati nguzo hizo utolewa bure kwa wateja kote nchini. Akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa nchini nzima katika semina iliyofanyika Jijini Dodoma, Waziri Kalemani amesema kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya kuuziwa nguzo licha ya Serikali kutoa maelekezo yakutouzwa kwa nguzo hizo. WAZIRI wa Nishati, Medard Kalemani ameonya tabia ya baadhi ya Mameneja wa Shirika la Umeme (TANESCO) kuwauzia nguzo wananchi wanaotaka kuunganishiwa huduma ya umeme wakati nguzo hizo utolewa bure kwa wateja kote nchini. Akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa nchini nzima katika semina iliyofanyika Jijini Dodoma, Waziri Kalemani amesema kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya kuuziwa nguzo licha ya Serikali kutoa maelekezo yakutouzwa kwa nguzo hizo. “Yapo maeneo watu mnawauzia nguzo, pamoja na kutoa maelekezo chungu nzima wa

Kocha mecky mexime

Picha
3 kati ya 3 kesssyngocho.blogspot.com  ametoa maoni kwenye  " Habari tanzani " Siku 2 zilizopita Kocha Mecky Mexime leo amesaini mkataba wa miaka miwili kama Kocha Mkuu wa kituo cha Cambiasso Sports Management. Mexime ameeleza kuwa ameamua kufanya kazi na Cambiasso kwa sababu anataka kutuliza Kichwa chake kutokana na vilabu vya Tanzania baadhi ya viongozi hawana ueledi wa soka. “Mimi sasa hivi nimeshaingia Cambiasso nimepumzisha kichwa kwa sababu huku kwenye vilabu vyetu wajinga wajinga wengi na ndio mpira wetu sisi unapofeli, sisi walimu wa mpira kuna wakati tunafukuzwa kazi na watu wajinga tu”>>> Mexime   

Stori nzuri

kessyngocho.blogspot.comMAMBO YA MSINGI SANA KUYAJUA ILI UISHI NA WENZIO VIZURI.  1. Epuka hasira za ovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya  kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo) 2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa salama (ubaya hulipwa kwa ubaya, ipo siku ubaya wako kwa wengine utakurejea kama sio kuwarejea watu wa kizazi chako) 3. Usichukue maamuzi kabla ya kutafiti ukweli (pengine wapo wanadamu wanaopenda kuonekana wao wema  kwa kuumiza wengine). Mtuhumu mtu lakini mpe muda wa kumsikiliza, usimshambulie mtu kwa maneno makali bila kuujua ukweli, ukijua ukweli nafsi inaweza kukusuta.  4. Mchukulie kila mwanadamu ni mkosaji (tambua kuwa hata wewe unawakosea sana wengine na wanakuvumilia. Hivyo usiwe mwepesi wa  kuwaadhibu wenzio kwa ubaya).  5. Usipande mbegu ya chuki na ubaya katika jamii unayoishi ukadhani itakuacha salama (chuki hukua kama mti utambaao, ukiipanda ndani ya jamii yako, haitatoka kwako na inaweza kutafuna kizazi c

Baruti za kitanzania

Picha
Ninzuli sana zinatumika vizuli kuliko za nje kessyngocho.blogspot.com
kessyngocho.blogspot.com

Tanzania

Picha
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa May 7, 2021 anatarajia kuzungumza na wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam katika mkutano utakaofanyika ukumbi wa Mlimani City na kuhusisha wazee takribani 900. Hayo yameelezwa leo Mkuu wa Mkoa wa DSM,  Abubakar Kunenge  aliyebainisha kuwa kulikuwa na utaratibu maalum wa kuwapata wazee hao na kwamba wengine wanapaswa kufuatilia mkutano huo kupitia vyombo mbalimbali vya habari. “Tunaomba sana waliopata mwaliko wahudhurie mkutano huu, tunatarajia ikifika saa nane kamili wazee wote watakuwa wameshafika. Na utaratibu wa jinsi ya kufika utatolewa kwani kutakuwa na magari yameandaliwa.”  Kunenge “Tunamshukuru Rais kwa kuchagua Mkoa huu kwa sababu angeenda Mkoa wowote lakini amechagua Dar es Salaam. Ninaamini kuongea na wazee hao atakuwa ameongea na wazee wa Tanzania nzima,”  Kunenge
kessyngocho.blogspot.com

Michezo

Picha
Kocha Mecky Mexime leo amesaini mkataba wa miaka miwili kama Kocha Mkuu wa kituo cha Cambiasso Sports Management. Mexime ameeleza kuwa ameamua kufanya kazi na Cambiasso kwa sababu anataka kutuliza Kichwa chake kutokana na vilabu vya Tanzania baadhi ya viongozi hawana ueledi wa soka. “Mimi sasa hivi nimeshaingia Cambiasso nimepumzisha kichwa kwa sababu huku kwenye vilabu vyetu wajinga wajinga wengi na ndio mpira wetu sisi unapofeli, sisi walimu wa mpira kuna wakati tunafukuzwa kazi na watu wajinga tu”>>> Mexime Jibu Futa

Habari

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  leo May 5, 2021  amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu Balozi Xia Huang Jijini Nairobi. Katika mazungumzo hayo Balozi Huang amewasilisha salamu za pole za  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  António Guterres  kwa Rais Samia kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na pongezi kwa Rais Samia kupokea kijiti cha Urais akiwa mwanamke wa kwanza kuwa Rais nchini Tanzania. Balozi Huang amesema Umoja wa Mataifa wanayo matumaini makubwa na uongozi wa Mhe. Rais Samia katika kuiongoza Tanzania na kuendeleza ajenda za ukanda wa Maziwa Makuu ambazo ni kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi na pia kuendeleza juhudi za kulinda amani na kuimarisha usalama. Ameipongeza Tanzania kwa mchango na ushirikiano mkubwa inaoutoa kwa Umoja wa Mataifa katika juhudi za kulinda amani na kuimarisha usalama katika maeneo yote
kessyngocho.blogspot.com
picha kali sana tukiwa na dj mkali kessyngocho.blogspot.com
Picha
HABARI  mimi nikijana mtanzania ambae ninaitaji vijana wabunifu ilitusaidiane kubuni vitu ambavyo vitatusaidia katika maisha yetu nikijalibu kuangalia haya maisha tukibweteka hali si nzuri  inabidi tupate kukutana watu tofauti tofauti ili tubadirishane mawazo changamoto za hapa na pale ili tujfunze           kessyngocho.blogspot.com

Bule usafiri

 #UNAAMBIWA Usafiri wa umma ni bure kwenye Nchi ya Luxembourg iliyopo Ulaya ikiwa imezungukwa na Ujerumani, Ufaransa na Ubelgiji, kuanzia March 2020 Watu wanapanda bure Mabasi, Trams na Treni kila wakati popote wanapokwenda.  Luxembourg ikiwa miongoni mwa Nchi tajiri duniani ambayo mpaka mwaka 2017 ilikua na Watu laki moja na elfu kumi na nne, ilisema moja ya sababu ya kufanya usafiri kuwa bure ni ili Watu wasitumie magari binafsi ili msongamano wa magari usiwepo.  kibongobongo ungependekeza kitu gani kiwe bure kwa wote? 🤔😄

Usafiri bule

 #UNAAMBIWA Usafiri wa umma ni bure kwenye Nchi ya Luxembourg iliyopo Ulaya ikiwa imezungukwa na Ujerumani, Ufaransa na Ubelgiji, kuanzia March 2020 Watu wanapanda bure Mabasi, Trams na Treni kila wakati popote wanapokwenda.  Luxembourg ikiwa miongoni mwa Nchi tajiri duniani ambayo mpaka mwaka 2017 ilikua na Watu laki moja na elfu kumi na nne, ilisema moja ya sababu ya kufanya usafiri kuwa bure ni ili Watu wasitumie magari binafsi ili msongamano wa magari usiwepo.  kibongobongo ungependekeza kitu gani kiwe bure kwa wote? 🤔😄

Habari yetu leo

 Wana jamii inabidi tujitume maana haya maisha yamekua juu zaidi hola hivyo nadhani watu watakimbia family zao

Wanafunzi kufanya mitihani

 Leo tarehe.4.5.2021 Wanafunzi wataingi kwenye michezo  Huku wakishindana kucheza mpila wa migu huku na sisi tukishangilia kwa vifijo ila tuwakumbushe kua mitihani imekalibia kuanzia wasijisahau ma

Kessy.ngocho tv habari

 Tanzania yetu ndo nchi yetu nzuli ambayo kila nchi inaitamani tumebalikiwa kwakila kitu madini hali ya hewa nzuli hata wana nchi wapole wana hekima Mungu tunazidi kukutomba utuongoze tuwe wamoja tusije tengana