Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba 16, 2021

MAGAZETI YA LEO TRH 17/09/2021 TAZAMA KILICHO ANDIKWA MBELE NA NYUMA ZA KURASA ZOTE

Picha
kessyngocho.blogspot.com Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September 17, 2021,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.

QUEEN WA AMAPIANO BOOHLE KUINOGESHA DAR WIKENDI HII MAISHA CLUB

Picha
kessyngocho.blogspot.com Ni  headlines za msanii kutokea Afrika Kusini, Boohle ambae  Septemba 18, 2021  anatarajiwa kutua  Dar es Salaam  kwa mara ya kwanza kuwaimbia  watanzania wanaoupenda muziki wao unaotikisa kwasasa unaofahamika kama  Amapiano. Boohle  amejipatia umaarufu kwa kasi baada ya kusikika katika  nyimbo kadhaa zikiwemo  Singili, Siyathandana,Woza, Wamuhle  na nyinginezo. Staa huyo  kutoka Afrika Kusini kwa mara ya kwanza atashika kipaza sauti na kuwaimba watanzania watakaofika  Jumamosi  hii  Septemba 18,2021  katika club ya Maison iliyopo Masaki Dar es Salaam. Hapa nimekusogezea nyimbo sita zilizompa umaarufu. Cassper Nyovest – Siyathandana ft. Abidoza, Boohle PIANO CITY Feat BOOHLE LIVE | EP – 4 | S1 Boohle – Ngimnandi ft Gaba Cannal (Official Visualizer) Mr JazziQ, Kabza De Small & Lady Du – Woza (ft. Boohle) Boohle – Singili (Official Video) Boohle – Wamuhle (ft. De Mthuda, Ntokz...