kessyngocho.blogspot.com Kamanda aliempindua Rais Conde awasili kwenye mkutano wa Ecowas “Aibuka na Ulinzi mkali” Edwin TZA · 2 days ago Ikiwa ni siku kadhaa tangu Wanajeshi wa Guinea wamejitokeza katika runinga ya taifa wakithibitisha kwamba Rais Alpha Conde ameondolewa madarakani, katika hotuba iliyooneshwa kwenye televisheni, Wanaume waliovaa sare za kijeshi, bendera ya Guinea ikiwa nyuma yao wamelihutubia taifa wakijiita Kamati ya Kitaifa ya upatanisho na maendeleo. Hapa nimekusogezea video ufahamu kile kinachoendelea nchini humo ambapo Kamanda aliempindua Rais leo Septemba 11, 2021 amefika mahali panapofanyika mkutano wa ECOWAS.
Machapisho
Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba 12, 2021