Ni July 28, 2021 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshiriki uzinduzi wa chanjo ya Uviko 19 katika viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam.
Sasa baada ya uzinduzi huo hapa millardayo.com imekusogezea picha 15 zikimuonesha Rais Samia Suluhu pamoja na Viongozi mbalimbali wakichanjwa chanjo ya kujikinga na Covid-19.
.
.Rais wa awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akionesha cheti chake baada ya kupatiwa chanjo ya kujikinga na Covid-19
.Pichani Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akichanjwa chanjo ya kujikinga Covid-19 katika hafla ya uzinduzi wa chanjo hiyo uliofanyika July 28,2021 Ikulu Dar es Salaam
.
.Pichani:Jaji Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma akichanjwa chanjo ya kujikinga ugonjwa wa Covid-19 katika uzinduzi wa hafla hiyo uliofanyika July 28,2021 Ikulu Dar es Salaam
.Pichani Waziri wa Afya Dkt Dorothy Gwajima akichanjwa chanjo ya kujikinga ugonjwa wa Covid-19 katika uzinduzi wa hafla hiyo uliofanyika July 28,2021 Ikulu Dar es Salaam
.Pichani;Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo akichanjwa chanjo ya Kujikinga na Covid-19 katika uzinduzi wa hafla hiyo uliofanyika July 28,2021 Ikulu Dar es Salaam
.
.Pichani:Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe akipatiwa chanjo ya kujikinga na Covid-19 katika uzinduzi wa hafla hiyo uliofanyika July 28,2021 Ikulu Dar es Salaam
.
.Pichani:Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Fatma Nyangassa akichajwa chanjo ya kujikinga na Covid- 19 katika uzinduzi wa hafla hiyo uliofanyika July 28,2021 Ikulu Dar es Salaam
.
.Pichani:Katibu Halmashauri Kuu CCM Taifa, Itikadi na Uenezi Ndg.Shaka Hamdu Shaka akichanjwa chanjo ya kujikinga Covid-19 katika uzinduzi wa hafla hiyo uliofanyika July 28,2021 Ikulu Dar es Salaam
.
.Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF)Jenerali Venance Mabeyo akichanjwa chanzo ya kujikinga na Covid-19 kwenye uzinduzi wa hafla hiyo iliyofanyika IKULU Dar es Salaam
Maoni
Chapisha Maoni
Karibu kessyngocho.blogspot.com
Tukuhudumie