kessyngocho.blogspot.comRais Samia akiwaapisha Mabalozi wateule 13 “Tumeteuwa Vijana ili mkachape kazi”
Edwin TZA · 2 hours ago

NI July 27, 2021 ambapo Rais wa awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anawaapisha Mabalozi wateule 13 muda huu Ikulu Dar es Salaam

“Waziri amesema hapa ni uteuzi wa Vijana wenye umri wa chini ya miaka 45 sasa hii ina maana gani? hii ina maana kwamba hatujawapa Idara mkafanye ujana tumteuwa vijana tuna maana kwamba ulimwengu wa leo ni ulimwengu wa mitandao, taarifa nyingi ni mitandao, mawasiliano mingi ni mitandao na nyie vijana mpo wepesi kwenye hayo”– Rais Samia

Lakini pia mtakuwa wepesi kufuatilia yanayowahusu lakini pia kufanya kazi zenu kwa urahisi tuna imani na nyinyi lakini pia kwa ambao watabaki hapa ndani watafanya kazi zao kwa urahisi, tumechagua fani mbalimbali tukijua kwamba fani zenu zikienda kutusaidia ikiwemo  wafanyabiashara watu wa Dipolamasia nikijua kwamba kazi iliyopo mbele yenu mnaiweza’- Rais Samia

 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

DARAJANI TANZANITE DAR ESALAAM