Mzozo eneo la karume
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uwepo wa Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere visiwani Zanzibar ni kielelezo Chanya katika kuenzi na kudumisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa Vitendo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameleza hayo kupitia hotuba alioisoma kwa niaba ya Rais Dk. Hussein Mwinyi katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la mradi wa ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere – Kampasi ya Karume Zanzibar.
‘Suala la mzozo Mkuu wa chuo amelizungumza na mimi nilitaka kumuhakikishia kwamba kwa niaba ya Mheshimiwa Rais hili suala tutalimaliza kwa kipindi kijazo’- Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar
Maoni
Chapisha Maoni
Karibu kessyngocho.blogspot.com
Tukuhudumie