kessyngocho.blogspot.com Tumekusogezea ucheki watu na utalam wao Namna ya kuendesha pkpk vijana wamejitoa Kucheze pikipiki
Machapisho
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
kessyngocho.blogspot.com Kamanda aliempindua Rais Conde awasili kwenye mkutano wa Ecowas “Aibuka na Ulinzi mkali” Edwin TZA · 2 days ago Ikiwa ni siku kadhaa tangu Wanajeshi wa Guinea wamejitokeza katika runinga ya taifa wakithibitisha kwamba Rais Alpha Conde ameondolewa madarakani, katika hotuba iliyooneshwa kwenye televisheni, Wanaume waliovaa sare za kijeshi, bendera ya Guinea ikiwa nyuma yao wamelihutubia taifa wakijiita Kamati ya Kitaifa ya upatanisho na maendeleo. Hapa nimekusogezea video ufahamu kile kinachoendelea nchini humo ambapo Kamanda aliempindua Rais leo Septemba 11, 2021 amefika mahali panapofanyika mkutano wa ECOWAS.
NAKUKARIBISHA KUTAZAMA KILE KILICHO ANDIKWA KWENYE MAGAZETI YA LEO TRH12/09/2021
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
TUMEKUSOGEZEA MAGAZETI YA LEO TRH.11.09.2021
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
kessyngocho.blogspot.com Rais aliepinduliwa akingiwa kifua na Mataifa, Rais wa Ghana atoa tamko Ikiwa ni siku kadhaa tangu Wanajeshi wa Guinea wamejitokeza katika runinga ya taifa wakithibitisha kwamba Rais Alpha Conde ameondolewa madarakani, katika hotuba iliyooneshwa kwenye televisheni, Wanaume waliovaa sare za kijeshi, bendera ya Guinea ikiwa nyuma yao wamelihutubia taifa wakijiita Kamati ya Kitaifa ya upatanisho na maendeleo. Hapa nimekusogezea taarifa mpya iliyotokewa Jumuiya ya Viongozi wa kiuchumi ya mataifa ya Afrika Magharibi ECOWAS ambao wameiondoka nchin Guinea katika Jumuiya hiyo kufuatilia mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea wiki iliyopita baada ya kuondolewa kwa Rais wao aitwao Alpha Conde.
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Manara ajutia asema “Nilichelewa wapi kujiunga na Mabingwa” (video+) Edwin TZA · 10 minutes ago Msemaji wa Yanga Haji Manara anaendeleza kejeli zake juu ya waajiri wake zamani na sasa ameibuka na kuonesha kujutia kuchelewa kujiunga Yanga SC. Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
kessyngocho.blogspot.comINASIKITISHA, MSIBA MZITO ULIOMPATA MILLARD AYO LEO Mwandishi wa Habari wa Ayo TV, Nellyson Grigery amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea leo Agosti 18, 2021 katika eneo la Kibaha mkoani Pwani. Taarifa ya Kifo cha mwandishi huyo imethibitishwa na mmiliki wa televisheni hiyo ya mtandaoni, Millard Ayo kupitia ukurasa wake wa Instagram. Millard ameandika “Leo imekua siku ngumu sana kwangu na AyoTV Team tumeondokewa na marafiki zetu wawili na mmoja ni mfanyakazi mwenzetu, mpigapicha wa AyoTV Kanda ya Ziwa, Nellyson Grigery.” “Mwingine ni rafiki yetu Mujitaba Yusuf waliekuwa wakisafiri pamoja kutoka Mwanza kuja Dar. Wamepata ajali Kibaha wakiwa watatu tunamshukuru Mungu mtu wa tatu ambaye ni Khamis Abdallah Mwandishi wa AyoTV Kanda ya Ziwa amejeruhiwa na sasa anaendelea vizuri."