Edwin TZA · 10 minutes ago

Msemaji wa Yanga Haji Manara anaendeleza kejeli zake juu ya waajiri wake zamani na sasa ameibuka na kuonesha kujutia kuchelewa kujiunga Yanga SC.
Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

DARAJANI TANZANITE DAR ESALAAM