kessyngocho.blogspot.comRais aliepinduliwa akingiwa kifua na Mataifa, Rais wa Ghana atoa tamko

Ikiwa ni siku kadhaa tangu Wanajeshi wa Guinea wamejitokeza katika runinga ya taifa wakithibitisha kwamba Rais Alpha Condeameondolewa madarakani, katika hotuba iliyooneshwa kwenye televisheni, Wanaume waliovaa sare za kijeshi, bendera ya Guinea ikiwa nyuma yao wamelihutubia taifa wakijiita Kamati ya Kitaifa ya upatanisho na maendeleo.

Hapa nimekusogezea taarifa mpya iliyotokewa Jumuiya ya Viongozi wa kiuchumi ya mataifa ya Afrika Magharibi ECOWAS ambao wameiondoka nchin Guinea katika Jumuiya hiyo kufuatilia mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea wiki iliyopita baada ya kuondolewa kwa Rais wao aitwao Alpha Conde.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

DARAJANI TANZANITE DAR ESALAAM