kessyngocho.blogspot.com Harmonize adaiwa kumtoa Kizz Daniel Polisi, DC aingilia kati ‘Watu Wakiahidiwa wapate fedha zao’ Agosti 8, 2022 Mwimbaji wa Nigeria Kizz Daniel alivyofuatwa hotelini kwake na kuchukuliwa na Polisi Dar es salaam . Saa kadhaa ikaripotiwa kuwa Harmonize alifika kituoni na kumchukua msanii huyo basi julikana taarifa yoyote. Sasa leo Agosti 9, 2022 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Godwin Gondwe ametangaza kuingia kati sakata hilo la msanii wa Nigeria. Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
kessyngocho.blogspot.com Ni Mei 28, 2022 ambapo watu mbalimbali wamefika katika Daraja Tanzanite Dar es Salaam kushuhudia live fainali kati ya Real Madrid na Liverpool kupitia Big Screen iliyofungwa kwenye daraja hilo. Hapa unaweza tazama picha mbalimbali shangwe za mashabiki wa Mpira waliofika kujionee fainali hiyo inayoendelea muda huu. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
Maoni
Chapisha Maoni
Karibu kessyngocho.blogspot.com
Tukuhudumie