Machapisho

BUNGE LAJADILI UJERUMANI KULIPA FIDIA MAUAJI YA KIMBARI

Picha
kessyngocho.blogspot.com Bunge nchini Namibia litajadili makubaliano kati ya nchi hiyo na Ujerumani katika hatua ya kulipa fidia ya wahanga wa mauaji ya kimbari yaliyofanyika kipindi cha ukoloni wa kijerumani ambayo bado hayajasainiwa hadi kufikia sasa,Majadiliano ya bunge nchini Namibia kuhusu makubaliano kati ya nchi hizo yanatarajiwa kuanza tena Jumatano mwezi huu. Spika wa Bunge nchini Namibia, David Nahongandja amesema ana matumaini makubwa katika makubaliano hayo na hatua hiyo itapelekea kupigiwa kura siku zijazo kwa kuwa,Kura hiyo ilicheleweshwa baada ya vikao vya bunge kuahirishwa mwezi Juni kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona. Kwa mujibu wa Nahongandja, wabunge wa upinzani mara kwa mara waliizuia serikali kuwasilisha makubaliano hayo bungeni hapo kwa siku ya jana,na kupelekea zaidi ya watu 300 waliandamana nje ya jengo la bunge kupinga makubaliano yaliyopendekezwa.

MAHAKAMA KUU IMEFUTILIA MBALI KESI YA MBOWE

Picha
kessyngocho.blogspot.com Mahakama Kuu imefutilia mbali kesi ya Mbowe Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya  Dar es  Salaam  imetupilia mbali kesi ya kikatiba ya Mwenyekiti wa CHADEMA,  Freeman Mbowe  aliyokuwa akilalamika kwamba haki zake za kikatiba zilikiukwa wakati wa kumkamata, kumweka kizuizini na hatimaye kumfungulia kesi akikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Mahakama  hiyo ilifikia uamuzi huo mbele ya Jaji John Mgeta baada ya kukubaliana na hoja moja kati ya tatu za  Serikali  ya pingamizi la awali kuwa maombi hayo hayako sawa kisheria kwasababu yanapingana na kifungu  4(5)  na kifungu cha  8(2)  cha sheria ya haki za msingi na utekelezaji wa majukumu sura ya tatu. Kwamba Mbowe ana njia nyingine za kupata hayo anayo walalamikia. Jaji alisema, wakati maombi hayo yameletwa, wakati huo huo kuna mwenendo wa kesi katika Mahakama nyingine ambako Mbowe anashtakiwa kesi ambayo ndiyo msingi wa malalamiko ha...

NJOO UTAZAME KILICHO ANDIKWA JUU YA MAGAZETI YA LEO TRH 22/09/2021

Picha
kessyngocho.blogspot.com Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September 22/ 2021,  nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Picha
kessyngocho.blogspot.com Fahamu kuhusu picha ya mstaafu Kikwete inayo-trend mtandaoni Edwin TZA  ·  38 minutes ago Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete akiwa kwenye mazoezi pamoja na Mbunge wa Nigeria waliokuwa wote kwenye Team ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Nchini Zambia,wakati Rais Mstaafu Dk Kikwete alioongoza Jopo la Waangalizi wa Uchaguzi huo kutoka Jumuiya ya Madola-Commonwealth.

NJOO UTAZAME KILICHO ANDIKWA NYUMA NA MBELE YA MAGAZETI YA LEO TRH 19/09/2021

Picha
kessyngocho.blogspot.com  Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September /19/ 2021 nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.

CHIDI BENZ KAJA NA VIDEO MPYA MSIKILIZE HAPA

Picha
kessyngocho.blogspot.com Mkali Chid Benz katuletea video mpya  NI Mkali kutokea kwenye Hip Hop  Rashid Makwiro a.k.a Chid Benz  ambapo time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake uitwao  Walete. Unaweza ukabonyeza play hapa kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.

TUMEKUSOGEZEA MAGAZETI YA LEO TRH 18/09/2021 TAZAMA KILICHO ANDIKWA NYUMA NA MBELE

Picha
kessyngocho.blogspot.com Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September 18/2021/nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.