kessyngocho.blogspot.comFahamu kuhusu picha ya mstaafu Kikwete inayo-trend mtandaoni
Edwin TZA · 38 minutes ago

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete akiwa kwenye mazoezi pamoja na Mbunge wa Nigeria waliokuwa wote kwenye Team ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Nchini Zambia,wakati Rais Mstaafu Dk Kikwete alioongoza Jopo la Waangalizi wa Uchaguzi huo kutoka Jumuiya ya Madola-Commonwealth.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

DARAJANI TANZANITE DAR ESALAAM