CHIDI BENZ KAJA NA VIDEO MPYA MSIKILIZE HAPA
kessyngocho.blogspot.comMkali Chid Benz katuletea video mpya
NI Mkali kutokea kwenye Hip Hop Rashid Makwiro a.k.a Chid Benz ambapo time hii ametuletea video mpya ya wimbo wake uitwao Walete.
Unaweza ukabonyeza play hapa kuitazama kisha usisahau kuandika neno lolote ili mkali huyo akipita asome mlichomuandikia.
Maoni
Chapisha Maoni
Karibu kessyngocho.blogspot.com
Tukuhudumie