Machapisho

TUMEKUSOGEZEA MAGAZETI YA LEO TRH.11.09.2021

Picha
kessyngocho.blogspot.com  Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September 11, 2021,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Picha
kessyngocho.blogspot.com Rais aliepinduliwa akingiwa kifua na Mataifa, Rais wa Ghana atoa tamko Ikiwa ni siku kadhaa tangu Wanajeshi wa  Guinea  wamejitokeza katika runinga ya taifa wakithibitisha kwamba Rais  Alpha Conde ameondolewa madarakani, katika hotuba iliyooneshwa kwenye televisheni, Wanaume waliovaa sare za kijeshi, bendera ya Guinea ikiwa nyuma yao wamelihutubia taifa wakijiita Kamati ya Kitaifa ya upatanisho na maendeleo. Hapa nimekusogezea taarifa mpya iliyotokewa Jumuiya ya Viongozi wa kiuchumi ya mataifa ya Afrika Magharibi ECOWAS ambao wameiondoka nchin Guinea katika Jumuiya hiyo kufuatilia mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea wiki iliyopita baada ya kuondolewa kwa Rais wao aitwao Alpha Conde.
Picha
Manara ajutia asema “Nilichelewa wapi kujiunga na Mabingwa” (video+) Edwin TZA  ·  10 minutes ago Msemaji wa Yanga Haji Manara anaendeleza kejeli zake juu ya waajiri wake zamani na sasa ameibuka na kuonesha kujutia kuchelewa kujiunga Yanga SC. Ayo TV & Millardayo.com  imekuandalia hapa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.
Picha
kessyngocho.blogspot.comINASIKITISHA, MSIBA MZITO ULIOMPATA MILLARD AYO LEO Mwandishi wa Habari wa Ayo TV, Nellyson Grigery amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea leo Agosti 18, 2021 katika eneo la Kibaha mkoani Pwani. Taarifa ya Kifo cha mwandishi huyo imethibitishwa na mmiliki wa televisheni hiyo ya mtandaoni, Millard Ayo kupitia ukurasa wake wa Instagram.  Millard ameandika “Leo imekua siku ngumu sana kwangu na AyoTV Team tumeondokewa na marafiki zetu wawili na mmoja ni mfanyakazi mwenzetu, mpigapicha wa AyoTV Kanda ya Ziwa, Nellyson Grigery.”  “Mwingine ni rafiki yetu Mujitaba Yusuf waliekuwa wakisafiri pamoja kutoka Mwanza kuja Dar. Wamepata ajali Kibaha wakiwa watatu tunamshukuru Mungu mtu wa tatu ambaye ni Khamis Abdallah Mwandishi wa AyoTV Kanda ya Ziwa amejeruhiwa na sasa anaendelea vizuri."

kessyngocho.blogspot.com Chanjo ya Ukimwi yaanza kufanyiwa Majaribio Edwin TZA  ·  24 minutes ago Wakati chanjo ya corona ikiendelea kutolewa katika Mataifa mbalimbali Duniani, chanjo ya Virusi vya  UKIMWI  (VVU) iliyokuwa inafanyiwa utafiti muda mrefu na Kampuni ya Moderna ya Marekani inatarajiwa kuanza kufanyiwa majaribio kwa Binadamu leo  Jumatano . Kampuni hiyo imetengeneza chanjo za aina mbili za  UKIMWI  ambazo zimefuzu hatua za awali za kimajaribio na hivyo kuanza kutumika kwa binadamu katika awamu ya tatu, chanjo hizo ni  mRNA-1644 na mRNA-1644v2-Core  ambazo zimeshachunguzwa na kufanyiwa majaribio ya awali na kuonekana salama kabla ya kujaribiwa kwa Binadamu kwa mara ya kwanza. Chanjo hiyo itaanza kutolewa kwa Watu  56 wenye umri wa kati ya miaka  18 hadi 56  na majaribio yanatarajiwa kukamilika Mwaka 2023.
Picha
kessyngocho.blogspot.com PICHA 10:Mwenge ulivyokabidhiwa DSM, Wakuu wa Wilaya washuhudia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Amos Makalla leo August 18 amepokea Mwenge wa Uhuru uliowasili Asubuhi ya leo Uwanja wa ndege wa  Mwalimu Nyerere  ukitokea Mkoa wa Pwani na kuukabidhi kwa Wilaya ya Ilala kwaajili ya kuanza shughuli ya uzinduzi na uwekaji mawe ya msingi kwenye miradi ya miradi ya maendeleo. Akipokea Mwenge huo kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Aboubakar Kunenge,  RC Makalla  amesema kwa siku tano ambazo Mwenge wa Uhuru utakuwa  Dar es salaam  utapitia miradi ya maendeleo 46 yenye thamani ya Shillingi  Billion 105.1. Mwenge wa Uhuru umeanza rasmi kukimbizwa leo Mkoa wa  Dar es salaam  kwa kuanzia Wilaya ya Ilala Kisha  Ubungo, Kinondoni, Kigamboni na Temeke   ambapo ifikapo August 23 Mwenge huo utakabidhiwa kwa Mkoa wa Lindi ukienda na kaulimbiu inayolenga kuhimiza Matumizi sahihi ya  TEHAMA . . . . . . . . .