Machapisho

Habari kutoka millardayo

Sharifat Hytham  ni mtoto wa Kitanzania mwenye  miaka 8  akiwa anasoma  Darasa la 4 katika Shule ya  Yemen  Dar es Salaam.  Ayo TV na Millardayo.com  imekutana na Sharifati ambae ana uwezo wa hali ya juu unaowashangaza wengi ikiwemo kuwaombea watu Dua, kuwafundisha Wanafunzi wenzake waliomzidi umri na kidato.   ‘ Naitwa Sharifat Hytham nasoma katika shule ya Yemen Primary, mimi ni mtoto wa kwanza katika familia yetu upande wa Mama na nina mdogo wangu wa kiume, muda ninaopata kusoma ni muda wa kukaa pekee yangu jioni tulivu pia nina muda wa kuwafundisha wenzangu kwa kipawa nilichopewa  na Mwenyezi  Mungu amenipa wepesi na amenijaalia wa kuwafundisha wenzangu walionivuka Madarasa na kiumri’- Sharifat Hytham

Habari za watu wazima tanzania

Kama kuna mtu anahabari za ukweli atupe tuwe tunatuma kwenye blog yetu hii

Ushauri

Karibu rafiki yangu mpendwa kwenye makala ya ushauri wa changamoto, ambapo tunashauriana hatua sahihi za kuchukua katika kukabiliana na changamoto ambazo ni kikwazo kwetu kufanikiwa kimaisha. Moja ya changamoto ambayo wengi wanapitia ni kukwama kuanza kwa sababu ya kuamini bado hawajapata maarifa ya kutosha au hakuna wa kuwasaidia. Hilo linawapelekea kujikuta wanaendelea kujifunza na kusubiri na wasianze kabisa. Kwenye ushauri wa leo tunakwenda kuona jinsi unavyojizuia kuanza kwa kufikiri hujawa na elimu ya kutosha au hatuna watu wa kutusaidia. Na rafiki yetu John ametuandikia kuomba ushauri kwenye hili; “Ninatamani kufanya biashara lakini kila ninayetaka kuzungumza naye na kushirikiana naye hasaidii kufika kwenye lengo langu kuhusu biashara na ninajikuta nabaki na maarifa yangu. Pia nimefanya tafiti nyingi kuhusu biashara na kilimo lakini kinachonikwamisha ni kukosa msingi bora wa elimu na kukosa mtu atakaye kusaidia kufikia malengo je nifanyeje. – John E. M. Nakumbuka kwenye moj...

Habari leo tanzania

watanzani tulio wengi maisha yetu kwasasa c mazuli maana maisha yamepanda sukari iko juu mafuta nyama pia imepada wafanya biasha kila kukicha wanapandisha bila utalatibu tunaomba serikali iangazie hayo matatizo ili tupate unafuu wanainchi

Habari

kessyngocho.blogspot.com Kamakawaida

Tanesko

Picha
WAZIRI wa Nishati, Medard Kalemani ameonya tabia ya baadhi ya Mameneja wa Shirika la Umeme (TANESCO) kuwauzia nguzo wananchi wanaotaka kuunganishiwa huduma ya umeme wakati nguzo hizo utolewa bure kwa wateja kote nchini. Akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa nchini nzima katika semina iliyofanyika Jijini Dodoma, Waziri Kalemani amesema kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya kuuziwa nguzo licha ya Serikali kutoa maelekezo yakutouzwa kwa nguzo hizo. WAZIRI wa Nishati, Medard Kalemani ameonya tabia ya baadhi ya Mameneja wa Shirika la Umeme (TANESCO) kuwauzia nguzo wananchi wanaotaka kuunganishiwa huduma ya umeme wakati nguzo hizo utolewa bure kwa wateja kote nchini. Akizungumza na Mameneja wa TANESCO wa nchini nzima katika semina iliyofanyika Jijini Dodoma, Waziri Kalemani amesema kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya kuuziwa nguzo licha ya Serikali kutoa maelekezo yakutouzwa kwa nguzo hizo. “Yapo maeneo watu mnawauzia nguzo, pamoja na kutoa maelekezo chungu nzim...

Kocha mecky mexime

Picha
3 kati ya 3 kesssyngocho.blogspot.com  ametoa maoni kwenye  " Habari tanzani " Siku 2 zilizopita Kocha Mecky Mexime leo amesaini mkataba wa miaka miwili kama Kocha Mkuu wa kituo cha Cambiasso Sports Management. Mexime ameeleza kuwa ameamua kufanya kazi na Cambiasso kwa sababu anataka kutuliza Kichwa chake kutokana na vilabu vya Tanzania baadhi ya viongozi hawana ueledi wa soka. “Mimi sasa hivi nimeshaingia Cambiasso nimepumzisha kichwa kwa sababu huku kwenye vilabu vyetu wajinga wajinga wengi na ndio mpira wetu sisi unapofeli, sisi walimu wa mpira kuna wakati tunafukuzwa kazi na watu wajinga tu”>>> Mexime   