kessyngocho.blogspot.comLive:Mwijaku anamjibu Manara muda huu “Manara akasome kwanza”
Edwin TZA · 1 hour ago

NI Mwijaku ambae muda huu anazungumza na Vyombo vya Habari kuhusu kauli za Haji Manara alizozitoka Agosti 4, 2021 akishtumu Uongozi wa Simba SC.

“Akubali akatae lazima aende kusoma zama zimebadilika kwasasa mpira unahitaji watu waliosoma, timu zetu zinapoelekea kwasasa zinahitaji watu wenye taaluma kwahiyo asitupie lawama kwa Simba“- Mwijaku

Ayo TV iko Mubashara muda huu unaweza ukafuatilia mwanzo mwisho anachozungumza muda huu.

MASHABIKI WA SIMBA WAMKINGIA KIFUA MO DEWJI “HATUMTAKI ANAYETOBOA MTUMBWI”

 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

DARAJANI TANZANITE DAR ESALAAM