kessyngocho.blogspot.comPicha:DC Nikki wa Pili ajipatia chanjo ya Uviko 19
Ni Mkuu wa wilaya ya Kisarawe Nickson Simon maarufu kama Nikk wa Pili ambae leo Agosti 5, 2021 amezindua rasmi Chanjo ya kujikinga na Ugonjwa wa Covid-19 katika wilaya yake, baada ya uzinduzi huo pia Mkuu wa Wilaya huyo alishiriki kujipatia chanjo hiyo.
Baada ya kujipatia chanjo hiyo alisema “Tunamshukuru Rais Samia na Serikali kwa ujumla pamoja na wadau wote wa afya kwa kufanikisha upatikanaji wa chanjo hii salama kabisa katika nchi yetu. Hii ni hatua muhimu katika kuendeleza mapambano dhidi ya Corona’– DC Nickson Simon
MUSUKUMA AWAVAA WANAOSEMA UKICHOMWA CHANJO UNAGEUKA ZOMBIE “NI MANENO YA WAPUMBAVU”
Maoni
Chapisha Maoni
Karibu kessyngocho.blogspot.com
Tukuhudumie