kessyngocho.blogspot.comTambo za Dulla Mbabe kuelekea Pambano lake na Twaha Kiduku “Yule sio Bondia”
Edwin TZA · 26 minutes ago
Ni kutoka kwenye kambi ya Bondia Dulla Mbabe ambaye amefunguka maandalizi ya pambano lake na Bondia Twaha Kiduku ambalo linatarajiwa kufanyika Ijumaa hii katika Ukumbi wa Ubungo Plaza Dar es Salaam.
Bondia huyo akizungumza na Ayo TV & Millardayo.com alisema...”Nimeshajiandaa muda tu tumalize mzizi wa fitina , kwanza lazima crown ibaki katika mkoa wa Dar halafu ndipo itaenda Pwani Kisarawe”-Dulla Mbabe
Bonyeza Play kufahamu alichozungumza Dulla Mbabe kuhusu Pambano lake dhidi ya Twaha Kiduku
Maoni
Chapisha Maoni
Karibu kessyngocho.blogspot.com
Tukuhudumie