kessyngocho.blogspot.comTreni yapata ajali Morogoro ikiwa na abiria 1370 ‘Dereva amefariki, kuna Majeruhi’

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limesema Treli ya Abiria imepata ajali saa tatu asubuhi July 22, 2021  baada ya Lori kuigonga Treni hiyo katika eneo la Kambi moa Godegode,Morogoro na kupelekea majeruhi 21 ambapo Wanaume ni 13 na Wanawake 8 na kifo cha Dereva wa Lori ambaye jina lake ni Gerald Malandu.

Treni hiyo iliyokuwa ikitokea Dodomakuelekea Dar es salaam ilikuwa na abiria1370 na tayari majeruhi wamefikishwa Zahanati ya SGR Kidete kwa Matibabu

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

DARAJANI TANZANITE DAR ESALAAM