Machapisho
BREKING NEWS MO DEWJI ATANGAZA KUJIUZULU KATIKA NAFASI HII SIMBA SC
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
Mfanyabiashara na muwekezaji wa Simba SC Mo Dewji ambaye anamiliki 49% ya hisa za Simba SC kwa thamani ya Tsh Bilioni 20 leo ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba SC na nafasi yake itachukuliwa na aliyekuwa makamu wake Salim Abdallah (Try Again). “Mmetuunga mkono kwa miaka minne ya uongozi wangu kama Mwenyekiti wa Bodi, kwenye miaka minne tumepata mafanikio makubwa tumeshinda Ligi mara 4 na kufanya vizuri kwenye Champignons League muda umefika kama Mohammed na tumekubaliana mimi nitajiuzulu kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC naomba sana msifikie kuwa mimi nimeondoka Simba bali bado ni muwekezaji”
Karibu utazame kilicho andikwa kwenye magazeti ya leo trh 27/09/2021 mbele na nyuma kwa siku ya leo.
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
NAKUKARIBISHA UTAZAME KILICHO ANDIKWA NYUMA NA MBELE KWENYE MAGAZETI YA LEO TRH 25/09/2021
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
BUNGE LAJADILI UJERUMANI KULIPA FIDIA MAUAJI YA KIMBARI
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
kessyngocho.blogspot.com Bunge nchini Namibia litajadili makubaliano kati ya nchi hiyo na Ujerumani katika hatua ya kulipa fidia ya wahanga wa mauaji ya kimbari yaliyofanyika kipindi cha ukoloni wa kijerumani ambayo bado hayajasainiwa hadi kufikia sasa,Majadiliano ya bunge nchini Namibia kuhusu makubaliano kati ya nchi hizo yanatarajiwa kuanza tena Jumatano mwezi huu. Spika wa Bunge nchini Namibia, David Nahongandja amesema ana matumaini makubwa katika makubaliano hayo na hatua hiyo itapelekea kupigiwa kura siku zijazo kwa kuwa,Kura hiyo ilicheleweshwa baada ya vikao vya bunge kuahirishwa mwezi Juni kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya virusi vya corona. Kwa mujibu wa Nahongandja, wabunge wa upinzani mara kwa mara waliizuia serikali kuwasilisha makubaliano hayo bungeni hapo kwa siku ya jana,na kupelekea zaidi ya watu 300 waliandamana nje ya jengo la bunge kupinga makubaliano yaliyopendekezwa.
MAHAKAMA KUU IMEFUTILIA MBALI KESI YA MBOWE
- Pata kiungo
- X
- Barua pepe
- Programu Nyingine
kessyngocho.blogspot.com Mahakama Kuu imefutilia mbali kesi ya Mbowe Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya kikatiba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyokuwa akilalamika kwamba haki zake za kikatiba zilikiukwa wakati wa kumkamata, kumweka kizuizini na hatimaye kumfungulia kesi akikabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Mahakama hiyo ilifikia uamuzi huo mbele ya Jaji John Mgeta baada ya kukubaliana na hoja moja kati ya tatu za Serikali ya pingamizi la awali kuwa maombi hayo hayako sawa kisheria kwasababu yanapingana na kifungu 4(5) na kifungu cha 8(2) cha sheria ya haki za msingi na utekelezaji wa majukumu sura ya tatu. Kwamba Mbowe ana njia nyingine za kupata hayo anayo walalamikia. Jaji alisema, wakati maombi hayo yameletwa, wakati huo huo kuna mwenendo wa kesi katika Mahakama nyingine ambako Mbowe anashtakiwa kesi ambayo ndiyo msingi wa malalamiko ha...