Machapisho

Michezo

Picha
Kocha Mecky Mexime leo amesaini mkataba wa miaka miwili kama Kocha Mkuu wa kituo cha Cambiasso Sports Management. Mexime ameeleza kuwa ameamua kufanya kazi na Cambiasso kwa sababu anataka kutuliza Kichwa chake kutokana na vilabu vya Tanzania baadhi ya viongozi hawana ueledi wa soka. “Mimi sasa hivi nimeshaingia Cambiasso nimepumzisha kichwa kwa sababu huku kwenye vilabu vyetu wajinga wajinga wengi na ndio mpira wetu sisi unapofeli, sisi walimu wa mpira kuna wakati tunafukuzwa kazi na watu wajinga tu”>>> Mexime Jibu Futa

Habari

Picha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan  leo May 5, 2021  amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu Balozi Xia Huang Jijini Nairobi. Katika mazungumzo hayo Balozi Huang amewasilisha salamu za pole za  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa  António Guterres  kwa Rais Samia kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli na pongezi kwa Rais Samia kupokea kijiti cha Urais akiwa mwanamke wa kwanza kuwa Rais nchini Tanzania. Balozi Huang amesema Umoja wa Mataifa wanayo matumaini makubwa na uongozi wa Mhe. Rais Samia katika kuiongoza Tanzania na kuendeleza ajenda za ukanda wa Maziwa Makuu ambazo ni kukuza maendeleo ya kijamii na kiuchumi na pia kuendeleza juhudi za kulinda amani na kuimarisha usalama. Ameipongeza Tanzania kwa mchango na ushirikiano mkubwa inaoutoa kwa Umoja wa Mataifa katika juhudi za kulinda amani na kuimarisha us...
kessyngocho.blogspot.com
picha kali sana tukiwa na dj mkali kessyngocho.blogspot.com
Picha
HABARI  mimi nikijana mtanzania ambae ninaitaji vijana wabunifu ilitusaidiane kubuni vitu ambavyo vitatusaidia katika maisha yetu nikijalibu kuangalia haya maisha tukibweteka hali si nzuri  inabidi tupate kukutana watu tofauti tofauti ili tubadirishane mawazo changamoto za hapa na pale ili tujfunze           kessyngocho.blogspot.com

Bule usafiri

 #UNAAMBIWA Usafiri wa umma ni bure kwenye Nchi ya Luxembourg iliyopo Ulaya ikiwa imezungukwa na Ujerumani, Ufaransa na Ubelgiji, kuanzia March 2020 Watu wanapanda bure Mabasi, Trams na Treni kila wakati popote wanapokwenda.  Luxembourg ikiwa miongoni mwa Nchi tajiri duniani ambayo mpaka mwaka 2017 ilikua na Watu laki moja na elfu kumi na nne, ilisema moja ya sababu ya kufanya usafiri kuwa bure ni ili Watu wasitumie magari binafsi ili msongamano wa magari usiwepo.  kibongobongo ungependekeza kitu gani kiwe bure kwa wote? 🤔😄