Machapisho

Wanafunzi kufanya mitihani

 Leo tarehe.4.5.2021 Wanafunzi wataingi kwenye michezo  Huku wakishindana kucheza mpila wa migu huku na sisi tukishangilia kwa vifijo ila tuwakumbushe kua mitihani imekalibia kuanzia wasijisahau ma

Kessy.ngocho tv habari

 Tanzania yetu ndo nchi yetu nzuli ambayo kila nchi inaitamani tumebalikiwa kwakila kitu madini hali ya hewa nzuli hata wana nchi wapole wana hekima Mungu tunazidi kukutomba utuongoze tuwe wamoja tusije tengana 

Habari tanzani

 Kama kawaida cc vijana huwa mawazo yetu hua ni finyu hatuwazi kesho bali hua tunaangalia leo tu tubadilike ili kesho yetu tuijue hata vizazi vijavyo vipate mambo ambayo c mabaya kwao bali ya heli